BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, 'Israel itajifanyia maamuzi yenyewe'- Netanyahu asema baada ya mazungumzo na Cameron
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amewaambia viongozi wa Israel wasihatarisha hali ya wasiwasi Mashariki ya Kati.
Vita vya Ukraine: Zaidi ya wanajeshi 50,000 wa Urusi wamethibitishwa kuuawa
Idadi jumla ya vifo – ni zaidi ya 50,000 - ni mara nane zaidi ya idadi rasmi ya vifo iliyotolewa na Moscow kwa umma mwezi Septemba 2022.
'Huu ni wakati wako'-Mbappe aweka hai ndoto ya PSG
"Kwa bao lake la pili, hilo haliangukii mtu mwingine yeyote, lakini inaangukia kwake kwa sababu yeye ndiye mtu huyo."
Je, mgogoro kati ya Israel na Iran unaweza kuathiri vipi Afrika?
Jioni ya Jumamosi Aprili 13, macho yote yalikuwa katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa mara ya kwanza, Iran iliilenga kwa mashambulizi Israel moja kwa moja kwa kurusha ndege zisizo na rubani na makombora.
Bilionea wa Rwanda aliyekimbia nchi Tribert Rujugiro afariki dunia
Rujugiro alikuwa mmoja wa wafadhili muhimu wa Rwanda ambaye aliwasaidia kifedha waasi wa RPF-Inkotanyi katika vita walivyopigana na Jeshi la Rwanda (FAR) enzi hizo kuanzia tarehe mosi Oktoba mwaka 1990, hadi RPF ilipotwaa madaraka Julai mwaka 1994.
WARIDI WA BBC: ‘’kwanini watu hufikiria walemavu hawana hisia za mapenzi’’
Josphine Mwende anatumia simulizi ya maisha yake hasa kuwapa moyo wanawake wanaoishi na hali moja au nyengine ya ulemavu kujikubali na kujipenda jinsi walivyo.
Dhoruba kali yakumba Falme za Kiarabu huku Dubai ikielekeza ndege kwingine
Uwanja wa ndege wa Dubai ulisema shughuli "zilibadilishwa kwa muda" - ingawa zimeanza tena.
Mwanasayansi anayewasoma watu muda mfupi kabla ya kufa.. "huwaona" wapendwa ambao tayari walishakufa
Mnamo Aprili 1999, daktari wa Marekani Christopher Kerr alishuhudia kipindi ambacho kilibadilisha taaluma yake.
Ipi tofauti kati ya mashambulizi ya 1991 ya Iraq na 2024 ya Iran dhidi ya Israel?
Shambulio la Iran, usiku wa Jumamosi iliyopita la ndege zisizo na rubani na makombora lilikuwa la kwanza la aina yake dhidi ya Israel tangu mashambulizi ya Iraq wakati wa Vita vya Pili vya Ghuba zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 17.04.2024
Winga wa Uingereza Jadon Sancho, 24, atakuwa tayari kurejea na kucheza tena soka yake katika klabu ya Manchester United iwapo meneja Erik ten Hag ataondoka. (News)
Njia zipi ambazo Israel inaweza kujibu mashambulio ya Iran?
Baada ya mashambulizi ya kihistoria ya Iran dhidi ya Israel, sasa kila mtu anasubiri majibu ya Israel.
Kwa nini Marekani inakataa kuiunga mkono Israel katika kulipiza kisasi dhidi ya Iran?
Ikulu ya White House imeionya Israel kuwa Marekani haitashiriki katika mashambulizi yoyote ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kwa mujibu wa maafisa wakuu.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Rais wa Ukraine ataka anga ya Ukraine kulindwa sawa na ilivyolindwa Israel
Rais Ukraine Volodymyr Zelensky anasema kwamba baada ya shambulio la Iran, "ulimwengu mzima uliona vitendo vya washirika katika anga ya Israel na nchi jirani jinsi umoja wa kweli unaweza kuwa na ufanisi.''
Kwa nini kuzuia shambulio la Iran ni mafanikio makubwa kwa Israeli?
Inaonekana kwamba vita vya chini chini kati ya Israel na Iran vimemalizika, kwa mujibu wa magazeti ya kimataifa, baada ya jibu la moja kwa moja, na la kwanza la Iran dhidi ya Israel.
Mashambulizi ya Iran na Israel: Nani kunufaika nani kupoteza?
Profesa wa Uhusiano wa Kimataifa, Fawaz Girgis, anaamini kuwa, kilichofanywa na Iran kilionesha kuwa Israel haiwezi kujilinda peke yake isipokuwa kupitia washirika wake wa Magharibi
Tanzania, Rwanda na Afrika Kusini zaungana na Kenya na Nigeria kusitisha matumizi ya dawa ya kikohozi kwa watoto
Dawa hiyo ina kiungo ambacho uchunguzi umebaini kwamba kilisababisha vifo vya watoto nchini Gambia, Uzbekistan na Cameroon tangu mwaka 2022.
Mchezaji wa timu ya Al-Ittihad acharazwa viboko na shabiki Saudia
SAFF ilisema "imeshtushwa na matukio ya aibu".
Kwa nini Iran imeishambulia Israel?
Iran inatuma ujumbe gani kupitia mashambulizi?
Iron Dome: Fahamu jinsi mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel unavyofanya kazi
Mfumo huu wa ulinzi ulikuja baada ya vita ambavyo Israel ilipigana na Hezbollah ya Lebanon mwaka 2006
Iran yaonya kufanya shambulizi baya zaidi ikiwa Israel italipiza kisasi
Iran inasema hatua kama hiyo itasababisha "shambulizi baya zaidi"
Nini kilikuwepo angani katika wimbi la mashambulizi ya Iran na yalizuiwa vipi?
Israel inasema asilimia 99 ya makombora yaliyorushwa dhidi yake na Iran usiku kucha yalinaswa na washirika wake.
Wanasayansi wanajifunza kuzungumza lugha ya nyangumi
Je, wanasayansi watafanikiwa kujua lugha inayozungumzwa na nyangumi baharini?
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 18 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki