BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 08 Januari, 2009 - Imetolewa 11:24 GMT
 
Waisraeli wakiangalia jengo lililoharibiwa na roketi kutoka Lebanon
Wakati vita vikipamba moto Gaza, wasiwasi umeongezeka Mashariki ya Kati baada ya roketi kuvurumishwa kutokea Lebanon na kuangukia Israel hali inayotishia kuenea kwa mzozo huo.
 
ANGALIA/SIKILIZA
VIPINDI VINAVYOSIKIKA
 
 
John Atta Milla ameapishwa kuwa Rais mpya wa Ghana kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi mkuu uliosababisha mshindi apatikane kwa kufanyika duru ya pili ya uchaguzi.
 
Hii ni awamu ya kwanza ya mwongozo wa uandishi wa habari ulioandaliwa na Chuo cha uandishi habari cha BBC, maalum kwa waandishi wote kujifunza kutokana na ujuzi na uzoefu wa BBC.
Vivutio
Picha zaidi kutoka Marekani wakati kumbu kumbu ya miaka 10 ya mashambulio ya mabomu.
Michezo
Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Jumamosi 10 Januari itakutangazia mechi ya Arsenal na Bolton.
 
 
HALI YA HEWA
 
Utabiri
Bonyeza hapa kuangalia hali ya hewa kwenye miji tofauti.
 
 

 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha