Huwezi kusikiliza tena

Sauti za Busara Zanzibar

15 Februari 2013 Imebadilishwa mwisho saa 14:05 GMT

Tamasha la kimataifa la sauti za Busara,limefanyika kisiwani Zanzibar.

Tamasha hilo liliwashirikisha wanamuziki chipukizi na wakongwe.

Tamasha hilo limepata umaarufu kwa kuwa na muziki wa moja kwa moja, unaotumia ala za kiasili na za umeme.

Tulanana Bohela, alihudhuria ufunguzi wa tamasha hilo.