Huwezi kusikiliza tena

Kampeini dhidi ya Saratani TZ

Licha ya saratani kuwa ni miongoni mwa magonjwa yanayoua idadi kubwa ya watu ncini Tanzania,hospitali pekee maalum ya magonjwa hayo imezidiwa na uwingi wa wagonjwa kutokana na serikali kutenga bajeti ndogo.

Katika maadhimisho ya siku ya saratani duniani, mkurugenzi mkuu wa taasisi ya saratani ya Ocean Road amesema taasisi yake imetengewa ailimia 20 tu kati ya fedha zinazohitaji shughuli zake.

Baruan Muhuza ametuandalia taarifa hii kutoka Dar es salaam.