Huwezi kusikiliza tena

Gesi ilivyozusha hamasa TZ

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kanda ya Afrika Mashariki imekua ikiwavutia sana waekezaji baada ya kugunduliwa akiba kubwa ya nishati, mafuta Kaskazini mwa Kenya na Uganda.

Pia hivi karibuni akiba kubwa ya gesi iligunduliwa nchini Tanzania ambako Takriban futi trillioni 35 za mche mraba (cubic feet) za gesi asili- ziligunduliwa mwaka jana eneo la Kusini.

Mipango ya kuvuna gesi hiyo imezusha hamasa kali katika eneo hilo kama alivyogundua mwaandishi wetu Baruani Muhuza alipotembelea eneo hilo.