Huwezi kusikiliza tena

Upungufu wa chakula, nani alaumiwe?

Mara nyingi umesikia taarifa kuhusu uhaba wa chakula duniani.

Sababu ya uhaba wa chakula kwa kawaida imekuwa ni ukame,majanga na mizozo.

Lakini je wajua kuwa kiasi kikubwa cha chakula huishia kutupwa au kuoza ?

Basi shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira UNEP kwa kushirikiana na wadau limeanzisha mikakati ya kuzuia uharibifu wa chakula.

Dina Gahamanyi ametuandalia taarifa ifuatayo.