Huwezi kusikiliza tena

Usanii na siasa Kenya

Wakenya wanapojiandaa kwenda katika uchaguzi Machi tarehe nne kutana na wasanii wanaotumia sanaa yao kuwahamasisha juu ya siasa. Hakuna mwanasiasa anayesazwa katika sekta hii. Ann Mawathe aliandaa taarifa hii