BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Kimbunga Hidaya: Upepo mkali, mvua kubwa yashuhudiwa pwani ya kusini ya Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga Hidaya kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Tanzania.
Video, Kimbunga Hidaya: Kimbunga ni nini?Muda, 2,21
Zaidi ya watu 350 wamefariki dunia tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika nchi hizo za Afrika mashariki kutokana na mvua kubwa na mafuriko.
Je unajua vimbunga hupewa vipi majina?
Umewahi kusikia vimbunga vikiwa na majina ya kushangaza, mfano cha sasa kinachoitwa Hidaya kinachoelekea Pwani ya afrika mashariki na kinatarajiwa kutua katika maeneo ya Tanzania na Kenya?
Mafuriko Kenya: Baadhi ya nyumba za Nairobi zabomolewa huku Kimbunga Hidaya kikikaribia
Ubomoaji huo unafuatia agizo la serikali kwa mtu yeyote anayeishi karibu na mito kuacha makazi yake na kuhamia maeneo ya juu.
Msemaji wa serikali: Kimbunga Hidaya kinapungua nguvu Tanzania
Serikali ya Tanzania imethibitisha kuwa kimbunga ‘Hidaya’ kinaendelea kusogea kuelekea pwani ya nchi hiyo.
Tetesi za soka Jumamosi 04.05.2024
Kocha wa zamani wa Bayern Munich wa Chelsea Thomas Tuchel ni miongoni mwa orodha ya Manchester United ya watu wanaoweza kuchukua nafasi ya Erik ten Hag.
Yote unayotakiwa kuyafahamu kuhusu Kimbunga Hidaya
Pwani ya Afrika Mashariki hususan Tanzania inatazamiwa kukumbwa na Kimbunga Hidaya ambacho kitasababisha mvua kubwa.
Je, kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara husaidia kuzuia saratani ya tezi dume?
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa kwa karibu na saratani ya mapafu.
Jinsi China inavyoisaidia Iran kukabiliana na vikwazo
Biashara na Iran ina hatari zake, haswa vikwazo vya Marekani, kwa nini China, mnunuzi mkubwa wa mafuta ulimwenguni, hufanya hivyo?
Maisha jirani na mgodi wa shaba na kobalti unaomilikiwa na China nchini DRC
China imekuwa ikiongoza kwa muda mrefu katika kusafisha lithiamu na kobalti, na usambazaji wake wa kimataifa umefikia 72% na 68% mtawalia 2022, kulingana na taasisi ya Chatham House.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Afya: Wanasayansi wako mbioni kutengeneza mkate wenye afya zaidi
Wanasayansi wanajaribu kuunda aina mpya ya mkate wenye afya - katika mradi unaofadhiliwa na serikali ya Uingereza ili kuboresha manufaa ya kiafya ya chakula hicho.
Mji wa Colombia uliosifika kwa kuwa kitovu cha 'utalii wa ngono'
Rafiki yangu aliniwezesha kuwasiliana na baadhi ya Wamarekani. Mmoja, 'Herbie', alikuwa na umri wa miaka 39. Mwingine, ni Víctor, aliyekuwa na zaidi ya 40. Nilikuwa na umri wa miaka 15.
Kenya yamteua mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa jeshi la anga
Kabla ya uteuzi wake alikuwa katika chuo kingine cha mafunzo cha National Defence College mjini Nairobi kama mmoja wa wakurugenzi.
Afya: Faida za muhogo kiafya
ules Kouassi, Daktari wa Afya ya Umma na mtaalamu wa lishe, kutoka Ivory Coast, anasema muhogo ni chakula muhimu, kwa sababu unaweza kuliwa na kila mtu na kuna njia tofauti za kutayarisha chakula hicho.
Mwiba katika BBC: Waandishi wa habari wanaofanya kazi uhamishoni waelezea
Idadi ya wanahabari wa BBC World Service wanaofanya kazi uhamishoni inakadiriwa kuwa karibu mara mbili, hadi 310, tangu 2020.
Kutoweka kwa mtoto wa miaka sita kulivyosababisha hofu Afrika Kusini
Takwimu za MCSA zinaonesha kuwa zaidi ya robo tatu ya watoto hao wanapatikana lakini wengine wanashukiwa kusafirishwa au kuuawa.
Togo: Miongo sita ya utawala wa familia moja ya Gnassingbé
Wakosoaji wanasema, mabadiliko ya hivi karibuni ya katiba ya Togo, yanaweza kumfanya Gnassingbé kubaki madarakani hadi mwisho wa muongo huu
Wanafunzi wanaoandamana vyuo vikuu Marekani wanataka nini?
Wanafunzi waandamana katika zaidi ya vyuo vikuu 20 Marekani; kunani?
'Niliwekwa kimada nikiwa na miaka 12'
Elizabeth Paul Chitesya, mwenye umri wa miaka 29, anayeishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa takribani miaka 10 sasa
Mafuriko Kenya: Jinsi mafuriko yanavyofichua hali mbaya ya mazingira ya Nairobi
Kufikia sasa zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha, wakiwemo takribani 50 katika vijiji karibu na mji wa Mai Mahiu siku ya Jumatatu umbali mfupi kutoka Nairobi.
Je, unapaswa kufanya nini ikiwa umekwama kwenye lifti iliyokatika umeme?
Kutokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini ajali za lifti zimejirudia mara kwa mara.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 6 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Mei 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 3 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 3 Mei 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki